Kauli ya halima mdee bungeni 2017 form




  • Kauli ya halima mdee bungeni 2017 form
  • Kauli ya halima mdee bungeni 2017 form

  • Halima mdee msagaji
  • Vita kali ya WANASHERIA Bungeni; Halima Mdee, Spika Tulia ...
  • JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA MAONI YA ...
  • Dkt. Slaa: Spika hajui sheria, kesi ya akina Halima Mdee ...
  • Vita kali ya WANASHERIA Bungeni; Halima Mdee, Spika Tulia ....



    Inatolewa chini ya Kanuni ya 99(9) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Aprili, 2016

    _________

    1.0UTANGULIZI

    Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Fedha na Mipango, Mheshimiwa Halima James Mdee (Mb), naomba kuwasilisha maoni ya Kambi ya Upinzani, kuhusu mapitio ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka wa fedha 2016/17, pamoja na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2017/18.

    Mheshimiwa Spika, kabla sijawasilisha maoni hayo, napenda kuchukua fursa hii, kwanza kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kunilinda na kunipa nguvu na maarifa zaidi ya kusonga mbele na kuendelea kuwatumikia wananchi wangu wa Jimbo la Momba.

    Pili, napenda kutumia fursa hii kumshukuru, na pia kumpongeza Mheshimiwa Halima James Mdee (Mb) ambaye ndiye Waziri Kivuli na Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika wizara hii, kwa ushirikiano mkubwa anaonipa katika kutek